Wednesday, 22 January 2025

Naamani Shujaa Wa Jeshi Lyrics sung by Acacia Singers

Naamani Shujaa Wa Jeshi Lyrics sung by Acacia Singers

1. Shujaa wa jeshi lile la washami
Mtu mkubwa jemedari mkuu wa vita
Muheshimiwa alishinda vita nyingi
Ni Naamani lakini alikuwa mkoma

Refrain
Mara saba ukaoge Yorodani
Utakaswe ngozi yako utapona 

2. Binti yule mfungwa mfanyakazi
Mu-Isiraeli aliyejawa huruma
Alitamka laiti angekuwepo
Nabii yule wa Msamaria angepona

3. Sasa tazama najua yote hakika
Hakuna Mungu humu duniani mwote
Ila katika Israeli pekee
Alitamka Naamani alipoponywa

Outro 1
Huyu Mungu muumbaji
Ndiye Mungu Bwana wetu
Anayeponya magonjwa
Na kutenda maajabu 

Outro 2
Njoo utakaswe dhambi zako
Usafishwe naye (na Yesu) kwa damu yake.

Acacia Singers, Tz.

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...