Wednesday, 22 January 2025

Nitakufanya Kuta/Acacia Singers Lyrics sung by Acacia Singers

Nitakufanya Kuta/Acacia Singers Lyrics sung by Acacia Singers


1. Nitakufanya kuta wa boma la shaba

Hauta bomoshwa milele milele

Adui zako wote wapiganapo nawe

Hawatakushinda asema Mungu wetu (Hata)


Refrain

Hata juu mbinguni kwake

Tutapokutana naye

Acacia Singers wote

Tutaimba milele(Hata)


2. Mungu yu na uwezo mkuu ajabu

Hatoshindwa kamwe daima milele

Tatufanya imara kama mti mshita

Acacia kundi ndogo twaimba sifa zake


3. Kama mti mgumo ule wa mshita

Uloota wa amani* (kandokando) kando ya kijito

Akiwa kati yetu hatutayumbishwa

Twaomba Mungu wetu utufanye imara.


Acacia Singers, Tz.

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...