Wednesday, 22 January 2025

Siku Yake Mungu Lyrics sung by Acacia Singers

Siku Yake Mungu Lyrics sung by Acacia Singers


1. Siku yake Mungu inakuja

Kwa kila kiumbe juu ya nchi

Mungu atamwaga ghadhabu yake kuu

Wenye dhambi wote wataangamia


Mungu atamwaga ghadhabu yake kuu

Wenye dhambi wote wataangamia


Refrain

Atamwaga ghadhabu yake juu yetu

Atawasha hasira yake

Atamwaga ghadhabu yake juu yetu

Kamwe hatatoa rehema


2. Nani awezaye kusimama

Katika hukumu inayokuja

Waliokubali kumpokea Yesu

Hao ndio watakaokolewa


3. Utasimamaje ukiitwa?

Mbele ya kiti cha hukumu ya Mungu

Muda umekwisha tumrejee Yesu

Siku ile yaja kama vile mwivi


Muda umekwisha tumrejee Yesu

Siku ile yaja kama vile mwivi.


Acacia Singers, Tz.

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...