Wednesday, 22 January 2025

Nitakwenda Pekee Yangu Lyrics sung by Acacia Singers

Nitakwenda Pekee Yangu Lyrics sung by Acacia Singers


1. Nitakwenda kwake mimi pekee yangu

Nasikia aniita “Njoo kwangu

Wewe utaabikaye Pekee yako itakoma,”

Asema Bwana “Mimi ndiye chakula ya uzima

Yeye alaye hataona njaa

Yeye alaye hataona njaa


Refrain

Yesu asema, "Njooni nyote kwangu

Furaha amani mtapata mbinguni."


2. Niambie u tayari kumwandama

Uende naye mbinguni

Je una shaka na hutaki kumwamini?

Au bado watamani raha za dunia?

Hatujui yatakayo jiri kesho

Mfuata Yesu upate uzima

Mfuata Yesu upate uzima


3. Wateule watakwenda naye Bwana

Kuishi huko mbinguni

Kwa furaha wamwimbie nyimbo tamu 

Za utukufu kwa shangwe wakiwa juu

Utukufu wake Mungu utang’aa

Walotakaswa wataishi humo.


Acacia Singers, Tz.

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...