Nitachipuka Tena Lyrics sung by Grace and Glory Singers
Nitachipuka Tena Lyrics sung by Grace and Glory Singers
1. Nitachipuka tena na kustawi
kwa kuwa nimekita mizizi kwa Yesu
Matunda yangu mazuri yalete watu kwa Yesu
Refrain
Hata nikianguka nitasimama tena
Na kuanza safari yangu
Kama mti uliokatwa huchipuka tena
Na kutoa matawi mapya
Na mwishowe huzaa matunda mema
2. Wale wamtumainio Mwokozi
Wafananishwa na mlima wa Zayuni
Japo pepo na zivume hawatatikiswa kamwe.
Grace and Glory Singers.
Comments