Saturday, 25 April 2026

Je Huyu Ni Nani Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Je Huyu Ni Nani Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Je huyu ni nani aliyelala horini?

Kisha aonekana akiwaponya watu

Viwete watembea vipofu waona

Tulia usikie yupo kaburini

Akifufua wafu, Ni nani?


Je huyu ni nani amechukua msalaba

Watu wakimbia 1-? hasemi lolote

Je huyu ni nani wakamsulubisha

Kisha kakata roho ya 1-? pata saa sita

Wakamzika kaburini


Refrain

Ndiye Yesu tangu mwanzo alikuwepo

Leo yupo na anakuja kama mfalme

Kila jicho litamuona

Katika kiti cha enzi


2. Kwa kauli yake alifufua Lazaro

Lazaro toka nje toka uende zako

Lazaro kafufuka kaanza tembea

Hatua moja mbili watu washangaa

Washindwa kumjua, Ni nani!


Na sasa anarudi kama alivyoahidi

Kuja kuwachukua wateule wake

Kufumba kufumbua kupaa angani

Tulia usikie watu wamngoja

Fanya hima Bwana yu mlangoni.


Kurasini SDA Choir.


For Revision 1-?: -lakini-? hasemi lolote. 2-?: -yapata-? saa sita?


Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 31, For Revision, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...