Saturday, 25 April 2026

Tafakari Maisha Yako Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Tafakari Maisha Yako Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


Verse

Tafakari kama maisha yako

Yamtangaza Yesu,

Kwa watu

Matendo yako yaonekane vyema

Kati ya watu wa mataifa


Utende mema watu (watu wengi)

Watu wengi waokoke

Maishani mwako wamjue Mungu (Wamjue Mungu)

Utende mema watu (watu wengi)

Watu wengi waokoke

"Beba msalaba wako, nimfuate"


verse

"Yeye anipendaye atazishika,

Amri na kurithi ufalme"

Bwana ahadi zake hazibadiliki kamwe

Tangu zamani hajabadilika

Atawapa baraka tele,

Wamwaminio atawabariki


Baraka tele asema, "Nitawainua,"

Mtainuliwa ameahidi

Matendo yenu kwao wa mataifa,

Yatawavuta wasiomjua

Neno la Mungu lasema,

"Mnifuate, Mimi nimeshinda ulimwengu

Nimepewa mamlaka yote,

Mkinifuata nitawainua juu muwe washindi."


Verse

"Anipendaye atashika amri (zangu)

Anipendaye atainuliwa

Matendo yenu yatawavuta kwangu

Anipendaye anifuate."


"Anipendaye atashika amri (zangu)

Anipendaye atainuliwa

Matendo yenu yatawavuta kwangu

Anipendaye anifuate."


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 31, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...