Mambo Ya Kesho Lyrics Sung by LCMM
1. Mambo ya kesho giza kwetu
Yamefunikwa na hatuyaoni
Tujikabidhi kwake Yesu
Mambo ya kesho kwetu ayajua
Refrain
Ahadi zake kwetu ni hakika,
Tumtegemeapo
Roho na mwili atawale
Tuwe wake milele daima
2. Wajidanganya wayajua
Utashangaa kwamba huyajui
Wacha kiburi nyenyekea
Mwachie Yesu yote ayajua.
Last Call Ministers Ministry.
LCMM, LCMM Vol 2, Bedi Score, Bedi Lyrics