Saturday, 25 April 2026

Nyumbani Mwako Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Nyumbani Mwako Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Nyumbani mwako (Nyumbani mwako) unamoishi

Umejenga nyumba ya fahari

Ukidhani ni mwisho wa yote

Kuna mji Yesu kaanda hakuna mfano wake

Lango zake ni za dhahabu Jerusalem (Jerusalem)


Refrain

Langu zake ni dhahabu natumani kuwa humo

Katikati ni bustani Jerusalem yapendeza

Kijito chatiririka katikati ya bustani

Yote hayo ni kwa ajili yangu na wewe


2. Ningeliweza (Ningeliweza) kuwa na mbawa

Ningeweza kupaa mbinguni

Nasubiri ahadi ya Bwana

Amekwisha niandalia mbawa za Bwana mfalme

Nitaruka na malaika juu angani (juu angani).


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 31, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...