Saturday, 25 April 2026

Najua Ananipenda Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Najua Ananipenda Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Najua ananipenda mimi mdhambi

Najua aliteseka niokoke (niokolewe)

Nina sababu ya kuelezea

Nilivyokombolewa na damu ya Yesu

Najiandaa kumuona Mwokozi

Nikaishi naye huko juu


Pre-Chorus

Utafakari upendo wa Mungu,

Anavyotupenda sisi wenye dhambi

Nani aweza kuokoa nafsi yake?

                      (Dhidi ya Bwana, - Nafsi)

Pasipo kutegemea huruma zake


Chorus

Ni kwa huruma zake kwetu

                   (Kwa huruma zake)

Kwa huruma zake wanadamu tumekombolewa (Kombolewa)


2. Najua alivyo mwema kwa wenye shida

Ninatamani niwe kama alivyo (Ninatamani)

Mahangaiko ya maisha haya

Yote ni bure bila msaada wake

Wema wa Mungu wanipa faraja

Tafuteni wema wa Mwokozi.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 31, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...