Saturday, 25 April 2026

Yuko Asiyechoka Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Yuko Asiyechoka Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Yuko asiyechoka (Yeye hachoki)

Kwa ajili yangu Yeye hachoki

Yuko asiyelala Ni Mwana wa Daudi

Usiku kama mchana (Kama mchana)

Hachoki kuwa nami

Huyu ni Yesu (Yesu) Ninayejivunia


Refrain

Siachi Kamwe! Kamwe! Kamwe! Kusifu jina lake

Yeye ni wangu mimi wake, Si wakutengwa naye

Chukua vyote, Chukua vyote, Uniachie Mwokozi

Kuishi kwangu (Kwangu), Ni Mwana wa Daudi.


2. Ni mwingi wa rehema (Wa rehema)

Tayari kuokoa, Anaokoa

Aletaye faraja kwa wale wamchao

Usiku kama mchana (Kama mchana)

Hachoki kuwa nami

Huyu ni Yesu (Yesu) Ninayejivunia.


Kurasini SDA Choir.


Php 1:21 For to me to live is Christ, and to die is gain.


Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 31, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...