Thursday, 30 April 2026

Tuseme Nini Bwana Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Tuseme Nini Bwana Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Tuseme nini Bwana (Bwana), Kwa upendo ulio mkuu

Kututoa kwenye shimo, Kwenye giza la dhambi

Sifa zikurudie Mungu Baba na mwana

Uamuzi mliofanya kumuokoa mdhambi


Refrain

Haki ya Bwana, Utakatifu wetu

(Haki ya Bwana---Utakatifu wetu)

Tunaupata kwa njia ya imani

Kila anayemwamini Yesu

Damu ya Yesu inamuokoa


2. Twaokolewa kwa neema (neema), Wala si kwa matendo yetu

Mtu asikudanganye, Ni kwa huruma zake Bwana

Sote tumwangalie Yesu, Ndiye mkuu wa imani yetu

Na mbinguni tutafika tukimtegemea.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir, Kurasini Vol 33, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...