Monday, 11 May 2026

Akamtemea Mate (Utakuwa Sawa) Lyrics sung by Voices of Praise

Akamtemea Mate (Utakuwa Sawa) Lyrics sung by Voices of Praise


1. Akamtemea mate na macho (Macho)

Akamuwekea mikono (Yesu)

Akamuuliza, ‘Waona kitu?’

Yule kipofu ame-1-?

La-la-la-la lalalala

'Naona watu kama miti, ila kwendao sioni vizuri'

Akaweka tena mikono yake, juu ya macho yake

Akatazama sana, akaona vyote waziwazi.


Refrain

Refrain

(Eeh Yesu),

Gusa mtumishi wako,

Gusa mara ya pili

Na ya tatu, Na ya nne, Ya tano (Ya tano)

(Na tena, Ya sita, Ya saba, Ya nane

Mara nyingine, mguse tena.


2. Pana matumaini, mimi na wewe,

Tukiungana twaweza fanya makubwa

Kama huwezi omba sasa,

Waeza toa hata kidogo

Ndugu wetu apate mwona dakitari


Twauliza,

‘Ajuaye ya kesho ni nani?’ (Ni nani?)

Kama waweza toa, hata kidogo

Pengine hilo tendo litaokoa kesho yako

Kwa pamoja twaweza fanya mabadiliko.


Bridge

Tushirikiane (Sote),

Tuvute pamoja (Ndugu),

Kwa mbali Mungu anatazama (Anatazama),

Mema utendayo, (Ndugu)

Mbingu yanakili, (Kweli),

Hakika nawe utabarikiwa (Utabarikiwa)


Outro I

(E ndugu mpendwa), Utakuwa sawa,

Sawa kwa jina la Yesu,

Tunaye Mungu mkubwa (-2-?)

-3-? (Atashinda, yake si kitu (Hospitali)

Hakika Mungu wetu (Leo hii)

‘tatushindia (Usihofu)


Outro II

Utakuwa sawa,

Sawa kwa jina la Yesu,

Tunaye Mungu mkubwa (Tunaye Mungu mkubwa)

-3-? (Kosa kitu kwake) yake si kitu (Si kitu kwake)

Hakika Mungu wetu

‘tatushindia.


Refrain

(Eeh Yesu),

Gusa mtumishi wako,

Gusa mara ya pili

Na ya tatu, Na ya nne, Ya tano (Ya tano)

(Na tena, Ya sita, Ya saba, Ya nane

Mara nyingine, mguse tena.


For Revision: Stanza 1, Line 3; Yule kipofu ame-1-?

Outro 1, Line 3; Tunaye Mungu mkubwa (-2-?)

Outro 1, Line 4 & Outro 2, Line 4; -3-? (Atashinda, yake si kitu (Hospitali)


Voices of Praise.


Voices of Praise, SDA Swahili Songs, SDA Swahili Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...