Wednesday, 6 May 2026

Kichuguu Kilicho Moyoni Mwangu (Bwana Chimba Kichuguu) Lyrics sung by Embakasi Central Church Choir

Kichuguu Kilicho Moyoni Mwangu (Bwana Chimba Kichuguu) Lyrics sung by Embakasi Central Church Choir


1. Kichuguu kilicho moyoni mwangu, Kitanizuia kuona ufalme wako

Malkia ambaye yu ndani yangu, Ni tisho kubwa kwa maisha yangu Bwana

Lakini najua nikijitolea nitasonga karibu na Bwana wangu.


Refrain

Bwana chimba kichuguu kichuguu ya dhambi,

Uondoe malkia moyoni mwangu

Unitayarishe kwa kazi yako, niwaletee wote waliopotea 

Kazi itakamilika vipi? Iwapo mimi hapa sijakuwa bora.


2. Kichuguu ni siasa za kanisa, zimetufanya tusahau njia ya kweli 

Malkia ni chuki na kiburi, wana wa Mungu wamepoteza mwelekeo

Kichuguu ni siasa za kanisa, zimetufanya tusahau njia ya kweli 

Malkia ni chuki na kiburi, wana wa Mungu wamepoteza mwelekeo


Kila mtu kanisani twajipenda, hata ushirika hauna maana (with hums)

Tujihadhari sababu muda waisha, tusimsulubishe mara ya pili

Kila mtu kanisani twajipenda, hata ushirika hauna maana (with hums)

Tujihadhari sababu muda waisha, tusimsulubishe mara ya pili.


Embakasi Central Church Choir.


Embakasi Central Church Choir, SDA Kiswahili Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics


Link: https://youtu.be/N568hGq5PIY?list=RDN568hGq5PIY


Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...