Twapenda Kuwatia Moyo Lyrics, Songs from the Radio
Chorus
Twapenda
kuwatia moyo, Watumishi shambani mwa Bwana
Ingawa kuna
vikwazo vingi, Majaribu ni makali
Tuitende
kazi kwa bidi, Kamwe tusikatishwe tamaa
Mungu
ametuandalia taji, (Na) Tukifika mbinguni.
Verse
Tujifunze kwa Nehemia, Alipokuja nakuta-? Yerusalemu
Alipitia vikwazo vingi, Bali alisimama, Kumtegemea Mungu
Kama alivyokuwa na Wanaisraeli jangwani
Mungu ameahidi, Atatuongoza katika kazi
Kamwe tusikatishwa tamaa, Aah, Kamwe tusikatishwa tamaa.
Verse
Tutakapotenda, kazi ya Mungu kwa bidii,
Na kujikabidhi, mikononi mwa Mungu
Kama mitume wa zamani walivyotenda,
Mungu atakuwa nasi, ata kwenye wakati mgumu
Tusikate tamaa, tudumu kuitenda kazi.
For Revision: Tujifunze kwa Nehemia, Alipokuja nakuta-? Yerusalemu
This is from the Radio; Singers not attributed. Attribution could be done later.
2022-04-21_04-24-12, Morning Star Radio Tz
Songs from the Radio, Fillers, Attribution Needed, Bedi Score, Bedi Lyrics