Wednesday, 6 May 2026

Yaliyobaki Mwenzangu Lyrics sung by Sisters of Christ

Yaliyobaki Mwenzangu Lyrics sung by Sisters of Christ

1. Yaliyobaki mwenzangu ni kumtukuza Mwokozi Yesu

Alishuka chini kafa msalabani ili uokolewe

Yaliyobaki mwenzangu ni kumtukuza Mwokozi Yesu

Alishuka chini kafa msalabani ili uokolewe

Yaliyobaki mwenzangu ni kumtukuza Mwokozi Yesu

Alishuka chini kafa msalabani ili uokolewe

Refrain

Sitasahau urafiki, sitasahau ukarimu

Sitasahau damu yake iliyonisafisha (Aah)

Mbona wamkimbia Bwana rudi uokolewe

Yesu bado akuhitaji hajakusahau mwenzangu

Mbona wamkimbia Bwana rudi uokolewe

Yesu bado akuhitaji hajakusahau mwenzangu

2. Atakapokushuka kwa mara ya pili je ndugu utamuona?

Je utamlaki au kutoroka uso wa Bwana Yesu 

Atakapokushuka kwa mara ya pili je ndugu utamuona?

Je utamlaki au kutoroka uso wa Bwana Yesu 

Atakapokushuka kwa mara ya pili je ndugu utamuona?

Je utamlaki au kutoroka uso wa Bwana Yesu 

Sisters Of Christ.

Sisters Of Christ, SDA Swahili Songs, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...