Wednesday, 6 May 2026

Walishindwa Kuvuka Lyrics sung by Sisters of Christ

Walishindwa Kuvuka Lyrics sung by Sisters of Christ

1. Walishindwa kuvuka ng’ambo ya bahari

Walishindwa kuvuka ng’ambo ya bahari

Wote wakamlilia Musa mbona umetuletea huku?

Wote wakamlilia Musa mbona umetuletea huku?

Mbele nyuma ni mateso ndugu, majeshi wa Misri pia

Mbele nyuma ni mateso ndugu, majeshi wa Misri pia

Musa akachukua fimbo kapigilia juu ya maji

Musa akachukua fimbo kapigilia juu ya maji, mwenzangu

Refrain

Kwa imani mwenzangu tutavuka ng'ambo ile

Kwa imani mwenzangu tutavuka ng'ambo ile

Tukeshe kwa maombi ndugu eeh kwake ndio silaha

Tukeshe kwa maombi ndugu eeh kwake ndio silaha

Japo majaribu ni mengi eeh tayari tu washindi

Japo majaribu ni mengi eeh tayari tu washindi

2. Japo ni shida tele jamani tutavuko

Japo ni shida tele jamani tutavuko

Misukosuko hapa na pale watu hawana amani

Misukosuko hapa na pale watu hawana amani

Wengine wamemkana Yesu mijili ya waisraeli

Wengine wamemkana Yesu mijili ya waisraeli

Vita njaa magonjwa yazidi haya yote tutashinda

Vita njaa magonjwa yazidi haya yote tutashinda, mwenzangu

Sisters Of Christ.

Sisters Of Christ, SDA Swahili Songs, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...