Kila Lenye Mwanzo Lina Mwisho/Yatapita Lyrics sung by Messengers
Chorus
Yatapita yatasahaulika,
Ingawa yatuhangaisha,
Yatapita hayatakumbukwa
1. Kila lenye mwanzo lina mwisho
Ewe mwanadamu yote yatapita
Twasumbukia maisha haya
Yote yana mwisho yote yatapita
Chorus
Yatapita yatasahaulika,
Yatapita hayatakumbukwa
Ingawa yatuhangaisha,
Yatapita hayatakumbukwa
2. Bwana anakuja na ujira,
Mkononi mwake alivyoahidi
Fanya subira mwanadamu,
Uwe mwaminifu kitambo yuaja.
Chorus
Yatapita yatasahaulika,
Yatapita hayatakumbukwa
Ingawa yatuhangaisha,
Yatapita hayatakumbukwa
Messengers
Messengers, Simba Wa Yuda Vol 3, Bedi Score, Bedi Lyrics