Mambo Mengi Yamesonga Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Mambo mengi yamesonga ndugu,
Umekosa msaada moyoni,
Dunia imekuzungukaa,
Umekosa faraja.
Refrain
Njoo kwa Yesu, kuna msaada,
Aleta faraja, (kwa) wanyonge,
Siku zote yuko karibu,
Mpe nafasi kwako.
2. Mapitoni mwako umesumbuka,
Majeraha mengi (ya) moyoni,
Yote ni ya kitambo
Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 29, Bedi Score, Bedi Lyrics