Thursday, 7 May 2026

Utaniuliza Ni Kwa Nini (Niko Palepale) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Utaniuliza Ni Kwa Nini (Niko Palepale) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

 

1. Utaniuliza ni kwa nini naimba,

Kila siku mi’ ninapaza sauti

--Naimba-----Naimba----- (2nd Voice)

Natikiswa nabaki palepale

--Naimba-----Naimba----- (2nd Voice)

 

Nitaimba bila kuchoka,

Malaika wanaposhuka kuimba

Moyo wangu unajawa furaha,

 

Kwenye shida mi’ naimba =1-?

--Naimba-----Naimba----- (2nd Voice)

Moyoni ninafarijika.

 

Refrain

Mimi niko palepale; Niko palepale,

Niko palepale; Mimi niko palepale

Nasimama palepale; Namwimbia Bwana

Pepo zivume, Niko mwambani,

Mwamba wa Yesu, Niko salama

 

Mimi niko palepale; Niko palepale

Navuka milima; Ninapita mabondeni

Katika shida na raha; Niko palepale

Hata mwisho, mwisho wa dahari,

Na Bwana wangu.

 

2. Moyo wangu unapopata majeraha,

Ninaimba mi’ naimba kidogo

--Naimba-----Naimba----- (2nd Voice)

Natikiswa nabaki palepale

--Naimba-----Naimba----- (2nd Voice)

 

Namwimbia Mwokozi wangu

Ninaimba na Yesu yu ndani yangu,

Amenipa amani na furaha

 

Amekuwa nguzo na kimbilio,

--Naimba-----Naimba----- (2nd Voice

Amenipa wimbo mpya.

 

For Revision: Kwenye shida mi’ naimba =1-? Na imani, or amani, or -?

 

Kurasini SDA Choir.

 

Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 30, For Revision, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...