Monday, 11 May 2026

Watu Hawa (Magari Na Farasi) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Watu Hawa (Magari Na Farasi) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Watu hawa wanazungumzia magari

Watu hawa wanazungumzia mafarasi

Sisi tunajivunia jina la Yesu,

Jina la Yesu, Jina la Yesu

Ushindi, Ushindi, Ushindi ni jina la Yesu.


Refrain

Ni Yesu, Ni Yesu, Ni Yesu pekee

Jiwe kuu, Jiwe la pembeni

Likiitwa mambo yote ni sawa sawa

Kila goti litapigwa kwake siku ya hukumu

Sema wasikie,

Kila goti litapigwa kwake siku ya mwisho


2. Jeshi la Farao linakuja kwa magari

Jeshi la Farao linakuja kwa farasi

Sisi tunatanguliza jina la Bwana

Jina la Bwana, Jina la Bwana

Ushindi, Ushindi, Ushindi ni jina la Bwana.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 30, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...