Wednesday, 10 June 2026

Je Ulibatizwa (Ubatizo Wa Kweli) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Je Ulibatizwa (Ubatizo Wa Kweli) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Je, ulibatizwa ubatizo gani?

Ulipomwamini Yesu kuwa Bwana wako.


Refrain

Ubatizo wa kuruka moto, huu si ubatizo

Na kupita chini ya bendera, huu si ubatizo

Kunyunyuziwa maji kichwani, huu si ubatizo

Kupepeshwa mizigo mizito, huu si ubatizo


Ubatizo wa kweli, ni ule ambao Yesu alibatizwa,

Ya kuzamishwa ndani ya maji, Ya maji yalo mengi.


2. Ndugu ‘sidanganywe soma maandiko

Yesu alivyobatizwa mtoni Yordani.


3. Wengi wetu leo wamedanganyika

Wamefungua macho yao pasipo kujua.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir Assorted, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics

Acheni Kristo Aitwe Kristo Lyrics Sung by Kurasini SDA Choir

Acheni Kristo Aitwe Kristo Lyrics Sung by Kurasini SDA Choir 1. Acheni Kristo, aitwe Kristo; Ni mfalme, Yule wa zamani, Kristo wa leo hii; ...