Tafuta Shilingi Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Tafuta shilingi imepotea, chumbani mwa moyo wangu
Na fagia dhambi moyoni mwangu nimwone Yesu (oh tafuta).
Refrain
Uje Bwana Mwokozi wangu, ukae moyoni mwangu
Niweze kuzishinda dhambi, niridhi Ufalme (Uje Bwana).
2. Kondoo wa Mungu amepotea na Yesu anatafuta
Kateseka kapigwa hadi kufa kaniokoa-?.
3. Shangwe duniani hata mbinguni mdhambi anapotubu
Na Malaika wa juu mbinguni wanashangilia (shangwe kubwa).
For Revision
2.1 Kateseka kapigwa hadi kufa kaniokoa-?.
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir Assorted, Kurasini Classics, For Revision, Bedi Score, Bedi Lyrics