Ukirushwa Rushwa Na Dunia (Omba) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Ukirushwa rushwa na dunia hii,
Majaribu yangali yakizidi
Je, wapiga magoti, Wakati wa kukata tamaa?
Je, (waomba) unaomba sana?
Refrain
Omba asubuhi (omba), omba mchana,
Omba jioni, uombe
Umweleze Yesu shida zako zote
Umweleze Yesu shida zako zote.
Kwa maombi vyote vyawezekana
Omba kila wakati, usikate tamaa
Bwana ameahidi, “Omba kwa jina langu,
Kitu chochote, nanyi mtapewa.”
2. Ulipo omba -?fanya aliposita kujibu maombi
Je uliacha kuomba tena, Ukafaa moyo?
Tuombe, tuombe, tuombe, tuombe, Tuombe
Tuombe, tuombe, tuombe, tuombe (ndugu yangu-?)
Tuombe, tuombe, tuombe, tuombe
Bwana wetu; (ali-?) Jina lake, Tutapewa
Kwa maombi vyawezekana, Tumsujudie Yesu.
For Revision
1.2: Majaribu yangali (makali-?) yakizidi
2.1:Ulipo omba -?fanya aliposita kujibu maombi
2.4: Tuombe, tuombe, tuombe, tuombe (ndugu yangu-?)
2.6: Bwana wetu; (alitupa mfano-?) Jina lake, Tutapewa
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir Assorted, Kurasini Classics, For Revision, Bedi Score, Bedi Lyrics