Kila Siku Nena (Unene Nami Bwana) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Kila siku nena nami Bwana,
Nionyeshe njia yako
Nong’oneza moyoni kwa pole,
Nena nami e Bwana.
Refrain
Unene nami Bwana,
Mapito yangu -? uniongoze
Unene e Bwana,
Nong’oneza kwa pole.
2. Kila mara uwe nami Bwana,
Nyayo zako nizifuate
Lainisha moyo wangu Bwana,
Nena nami e Bwana.
Ulinena nao Bwana
Najishusha kwako Bwana wangu,
Nena nami e Bwana.
For Revision
R2: Mapito yangu -? yangu tu, Mapito yangu juu.
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir Assorted, Kurasini Classics, For Revision, Bedi Score, Bedi Lyrics