Leo Ni Furaha (Bwana Na Bibi Harusi) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Leo ni furaha, ni shangwe ya harusi
Aliye na huzuni, amekosa kazi
Mpeni pole, mpenzi vazi
Bwana ashuka, kuwabariki maarusi wetu.
Refrain
Bwana na bibi harusi leo, leo (leo)
Mtavikwa utukufu naye Bwana
Uwaangazie baraka zake
Mkikumbuka kuanza kumaliza naye Bwana.
2. Warudishe Edeni, uwaelekeze
Kutokula tunda la mema na mabaya
Wasiachane, wakati wote
Uwakumbushe, kutembea nawe siku zote.
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir Assorted, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics