Mkijua Ni Mwisho (Mwenye Kuvumilia) Lyrics Sung by Kurasini SDA Choir
1. Mkijua ni mwisho wa wakati
Inueni macho yenu juu
Nyote mloitwa kwa jina lake
Vaeni silaha za vita.
Refrain
Mwenye kuvumilia (vumilia),
Atapewa taji ya uzima,
Kutawala pamoja na Yesu.
2. Machafuko yaliyo duniani,
Yasikutoe kwenye nuru
Bwana yu tayari kukuoa,
Kesheni mwisho wa safari.
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir Assorted 2, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics