Sunday, 14 June 2026

Tulia Kwa Yesu Ushindi Lyrics Sung by Kurasini SDA Choir

Tulia Kwa Yesu Ushindi Lyrics Sung by Kurasini SDA Choir


1. Tulia kwa Yesu,

Uwe mshindi, yatulia

Kwa hali yote, tembea naye


Japo safari ni shida

Huzuni nyingi (sana),

Ataonyesha njia


Japo safari ni shida

Huzuni nyingi (sana),

Ataonyesha njia.


Refrain

Aliahidi mwenyewe,

Ataleta faraja tele

Tuliitapo jina lake (Bwana),

Atayajibu maombi.


2. Mfungulie Mungu,

Uwe mshindi, kafungulie

Ushindi wake ni wa hakika


Tafuta nafasi sasa,

Uzungumze moyoni utulie

Tafuta nafasi sasa,

Uzungumze moyoni utulie.


Refrain

Aliahidi mwenyewe,

Ataleta faraja tele

Tuliitapo jina lake (Bwana),

Atayajibu maombi.


Refrain II

Unapohuzunika, matumaini kutoweka

Ni wa thamani moyoni

Unapohuzunika, matumaini kutoweka

Ni wa thamani.


Unapohuzunika, matumaini kutoweka

Ni wa thamani moyoni

Unapohuzunika, matumaini kutoweka

Ni wa thamani kwako.


Refrain

Aliahidi mwenyewe,

Ataleta faraja tele

Tuliitapo jina lake (Bwana),

Atayajibu maombi.


Refrain II

Unapohuzunika, matumaini kutoweka

Ni wa thamani moyoni

Unapohuzunika, matumaini kutoweka

Ni wa thamani.


Unapohuzunika, matumaini kutoweka

Ni wa thamani moyoni

Unapohuzunika, matumaini kutoweka

Ni wa thamani kwako.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir Assorted 2, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics

Usiku Wa Manane Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Usiku Wa Manane Lyrics sung by Kurasini SDA Choir Pre-Chorus Usiku wa manane , kelele zikasika, Amini; Usiku wa manane, kelele zikasika. Ref...