Thursday, 30 April 2026

Leo Naukana Utu Wangu Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Leo Naukana Utu Wangu Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. “Leo naukana utu wangu wa kale,

Naanza maisha mapya katika Kristo

Nimejifunza habari zako, Eh Bwana,”

Hivi leo najitoa kwake


Refrain(1)

Mambo ya dunia ni hasara,

Fahari zake hazidumu


Refrain (2)

Nimejifunza kumfuata Yesu,

Maisha kwa Yesu ni salama

Aah, Nimejifunza kumfuata Yesu,

Maisha kwa Yesu ni salama


2. “Leo Yesu andika upya jina langu,

Kwenye kitabu cha uzima wa milele

Ya kale yote ninayaacha Bwana,”

Hivi leo najitoa kwake.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir, Kurasini Vol 32, Bedi Score, Bedi Lyrics

Nikitazama Dunia (Ukimwi) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Nikitazama Dunia ( Ukimwi ) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir 1. Nikitazama dunia, Inaombolezayo waya waya Magonjwa yenye kutisha, Yanavyowa...