Tukitafakari Mji Huo Lyrics sung by The Gospel Train
Tukitafakari Mji Huo Lyrics sung by The Gospel Train 1. Tukitafakari mji huo ulowekewa washindi Bwana ataashiria kila mmoja Akisema kwamba mmefanya vyema Tutaingia mji huo kwa shangwe tele Tutaingia mji huo kwa karamu kubwa Refrain Asante, Asante Yesu (Haleluya) Asante kwa ukombozi Itakuwa furaha, Furaha ya ajabu (Siku hiyo/Haleluya) Amani ya mji hiyo yatatawala Itakuwa ni furaha kwa mji huo 2. Kutakuwa na swali moja kuu Tukiulizana sote 'ako wapi wa fulani muhubiri hodari?' Stephano atashangaa kuona Paulo na Sila Nasi tutaulizana, 'ilikuwa vipi?' Amani ya mji hiyo yatatawala Itakuwa ni furaha kwa mji huo The Gospel Train, Kenya.