Nenda Ninawi Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Nenda Ninawi Lyrics sung by Kurasini SDA Choir Verse 1 Nenda Ninawi , Peleka ujumbe (peleka ujumbe) Peleka ujumbe (peleka ujumbe) Nenda Ninawi Yona , Peleka ujumbe wangu Kwamba uovu wao umefika mbele yangu Verse 2 Kawaambie watubu (Kawaambie watubu) Nitangaamiza Ninawi (Nitangaamiza Ninawi) Kaipaze sauti (Kaipaze sauti) Watu wote wanapaswa kutubu, Wanadamu na wanyama Na vyote vilivyoumbwa na Mungu, Vyote vimlilie Mungu muumbaji Verse 3 Yona hakutaka kwenda Ninawi Kapanda merikebu ya Tarshishi Akijua anamkimbia Mungu Masikini Yona mtumishi wa Mungu hakujua, Mungu yuko pande zote Verse 4 Wakiwa baharini tufani ikavuma Upepo ukaipiga ile merikebu Meli ikatikiswa (ikatikiswa) Karibu ya kupasuka vipande vipande (vipande vipande) Yona hana habari (hana habari) Amefichiwa na usingizi (usingizi) ‘Amka! Wewe, Amka! Wewe, Usilale usingizi, Muombe Mungu wako atuokoe’ Verse 5 Yona alipoamka na kuona tufani, Akagundua kosa lake kwa Mungu Kamwambia nahodha, ‘Ili ninyi mpone…, Nitupeeni mimi baharin...